Saturday, August 18, 2012
Eid Mubarak Kutoka Kwa Timu Nzima Ya Jobstanzania.Org
Napenda Kuchukua Nafasi Hii
Kuwatakia Wadau Wote Wa Jobstanzania.Org A Happy Eid-Al-Fitr, Na Kwa Wale Walioweza Kitimiza Nguzo Hii Muhimu Ya Kufunga Katika Mwezi Huu Wa Ramadhani Basi Naomba Mwenyezi
Mungu Azikubali Funga Zenu Na Dua Zote, Mwenyezi
Mungu Awazidishie Mema Ya Duniani Na Funga
Zenu Ziwe Za Kheri,
Sherekeheni Siku Kuu Hii Kwa
Amani Na Upendo, Na Kufanya Yale Yote Yanayo Mpendeza
Mwenyezi Mungu. Tunakutakia Eid Mubarak Kwa Wewe Na
Familia Yako Na Mwenyezi Mungu Awabariki
Na Mpate Barakah
(Baraka) Katika Dunia Na Akhirah (Akhera).
Eid Mubarak Kutoka Kwa Timu Nzima Ya Jobstanzania.Org
Regards
Ally E.H Msangi,
Founder of Jobstanzania website
Email: ally@jobstanzania.org
Mobile: +255 754 412647
Website:
www.jobstanzania.org

